Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 27, 2017

New Audio: Kent & Flosso - ' Cheza Mama". Download .mp3

Voltage music singers, Kent and Flosso amba wamekuwa wakifanya poa kwa miondoko yao ya dancehall katika ngoma zao kama vile Kelewa, Pull up, Sampo n.k…  

Sasa wamerudi tena! Kent na Flosso wamekuletea brand new single inayoitwa ‘Cheza Mama’.... pakua hapo chini....