Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 22, 2017

Mtoto wa Ray Kigosi na Chuchu Hans.

Jaden ni mtoto wa Ray Kigosi na Chuchu Hans aliyezaliwa wiki hii tayari amefunguliwa akaunti yake kwenye mtandao wa Instagram. Account yake inasimamiwa na mama yake kama ilivyo ya Tiffah na Nillan, amewafollow wazazi wake tu.

Katika kufurahia zawadi ya mtoto, Ray ameendelea kuweka wazi furaha yake kwa kuandika.....
 Nikikuangalia Mwanangu Jaden Nakuwa Na Furaha Isiyo Kifani Na Kunipa Nguvu Ya Kupambana Na Maisha Ili Uishi Vizuri.. Mtoto ana Raha Yake Jamani asikwambie mtu Nyie Puyangeni Tu.