Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 24, 2017

Miji 10 ghali zaidi duniani kuishi kwa mwaka 2017.

Sydney, Australia
Baada ya kukupatia stori ya Top 10 ya hoteli ghali zaidi kulala duniani, sasa leo nakusogezea hii ya Miji 10 ghali zaidi duniani kuishi kwa mwaka 2017.

10. Bournemouth & Dorset, Uingereza

9. San Francisco, Marekani

8. Los Angeles, Marekani 

7. Honolulu, US 

6. Melbourne, Australia 

5. San Jose, Marekani 

4. Auckland, New Zealand 

3. Vancouver,  Canada 

2. Sydney, Australia 

 1. Hong Kong, China