Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

January 26, 2017

Jumba la bei ghali katika soko la Marekani, latajwa.

Baadhi ya picha za Jumba jipya Marekani ambalo limetajwa kuuzwa kwa dola za Marekani milioni 250 ambayo ni takribani Tsh Bilioni 558.75 na kuifanya kuwa jumba la gharama zaidi katika soko la Marekani kwa sasa. 

Unaambiwa Jumba hili lina vyumba 12, mabafu 21, baa tano na majiko matatu ambapo makazi haya ya kifahari pia yana gereji ambayo imejaa magari na kuna sehemu pia ya kuruhusu Helikopta kutua.
Ukumbi wa kutazamia CINEMA nyumbani
Credit: TZA