Header Ads

Breaking News
recent

Benki ya dunia yadumisha makadirio ya bei ya mafuta kwa dola za kimarekani 55 kwa pipa

Benki ya dunia imetoa ripoti ya robo mwaka ikikadiria kuwa, mwaka huu bei ya mafuta itaongezeka kwa asilimia 29 kuliko mwaka jana, na kufikia dola za kimarekani 55 kwa pipa, makadirio ambayo ni sawa na yale yaliyofanywa na benki hiyo mwezi Oktoba mwaka jana.

Ripoti hiyo inakadiria kuwa kutokana na jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta OPEC na nchi nyingine zinazozalisha mafuta zitatekeleza makubaliano ya kupunguza uzalishaji wa mafuta, mwaka huu utoaji wa mafuta utapungua, hasa katika nusu ya pili ya mwaka huu. 

Hali hii itasaidia kupunguza akiba ya mafuta kuliko kiasi muafaka.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.