Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 13, 2016

Movie ya Fast & Furious 8 - Trailer yake imetoka, Icheki hapa.

Baada ya kutoka kwa movie kali ya Fast & Furious 7 mwaka 2015, ikiwa na rekodi ya kufikisha mauzo ya dola bilioni 1 duniani kupitia box-office na kuwa kwenye orodha ya movie 6 bora za muda wote, sasa nikutoka katika kampuni ya Universal ambao ni waandaaji wa Fast & Furious 8.
Movie ya Fast & Furious 8 inatarajiwa kutoka rasmi ifikapo April 14, 2017 na itaoneshwa kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa.

Walio Igiza filamuhii ni :-