Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 2, 2016

Nchi 5 duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao hawawajakanyaga shule.

 Ni orodha kutoka mtandao wa OECD Data uliozitaja nchi tano duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao hawasomi, hawana mafunzo ya aina yoyote na hawana kazi.

Data za watu hao zinaonyesha vijana wenye umri wa miaka 20 mpaka 24 ndio wamekuwa wengi zaidi kwenye idadi hiyo, hii ni ripoti ambayo utafiti wake umefanyika mpaka September 2016.

Nchi ya kwanza inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ni Italia, namba mbili ni Uturuki, ya tatu ni Ugiriki ikifuatiwa na Hispania kisha Mexico kama inavyoonekana kwenye hii orodha hapa chini.