Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 24, 2016

Video: Mayunga afunguka muda aliopewa kurekodi wimbo wake wa 'Please Don't Go Away' na Akon, ni Amaizing.

Ni october 24 2016 ambapo Hit Maker wa ngoma ya "Please Don’t go Away" Mayunga ameelezea alivyokwenda Marekani kurekodi na Staa Akon, Mayunga ameweka wazi siku aliyopewa mdundo wa Please dont go Away, time ikiwa imekata yani siku moja tuu kabla ya kurekodi. Basi mpimie hapo chini.... 
Credit (Millardayo)