Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 2, 2016

Video: Baraka Da Prince Ft. Alikiba - "Nisamehe".

Leo wakali kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 Baraka The Prince na Alikiba wameachia ngoma mpya ya video ambayo ni ya Baraka Da Prince inayoitwa "Nisamee".