Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 27, 2016

Orodha ya miji iliyotembelewa zaidi duniani kwa mwaka 2016, iko hapa..

Imenifikia listi ya miji ambayo kwa mwaka huu 2016 imepata watalii wengi zaidi, nimeona sio mbaya kushare na wewe. 

Global Destinations cities index imetoa ripoti ya miji 132 inayoongoza kwa kupata wageni wengi kwa mwaka 2016 ambapo wametumia kipimo cha namba ya jumla ya watalii wanaoingia mjini ndani ya siku. 

 20) Prague, Czech Republic -Wageni milioni  5.81 kutoka mataifa mengine
19) Shanghai, China – Wageni milioni 6.12
18) Vienna, Austria – Wageni milioni 6.69
17) Osaka, Japan -Wageni milioni  7.02
16) Rome, Italy -Wageni milioni  7.12
15) Taipei, Taiwan -Wageni milioni  7.5
14) Milan, Italy -Wageni milioni  7.65
13) Amsterdam, Netherlands -Wageni milioni  8
12) Barcelona, Spain – Wageni milioni 8.20
11) Hong Kong, China – Wageni milioni 8.37
10) Seoul, South Korea – Wageni milioni 10.20
9) Tokyo, Japan -Wageni milioni 11.70
8) Istanbul, Turkey – Wageni milioni 11.95
7) Kuala Lumpur, Malaysia -Wageni milioni  12.02
6) Singapore – Wageni milioni 12.11
5) New York City, USA – Wageni milioni 12.75
4) Dubai, United Arab Emirates -Wageni milioni  15.27
3) Paris, France -Wageni milioni  18.03
2) London, England – Wageni milioni 19.88
1) Bangkok, Thailand – Wageni milioni 21.47