Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 24, 2016

Msanii wa Marekani J. Cole ameandika rekodi mpya katika muziki wa hip hop.

Rapper J. Cole amefanikiwa kupata double platinum kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 2 za album yake, 2014 Forest Hills Drive bila collabo yoyote, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Recording Industry Association of America.