Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 26, 2016

Kamanda wa Jeshi la Polisi Arusha, afafanua juu ya hatua watakazochukuliwa watoto 11 waliosemekana kufanya ngono na mbwa.

Wanafunzi wa kiume 11 wa shule za msingi Sombetini jijini Arusha wametuhumiwa kufanya ngono na mbwa eneo la mto Ngarenaro. Watoto hao ni wa miaka kati ya miaka saba na 11 wa darasa la tatu.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha , Charles Mkumbo amesema jeshi la polisi haliwezi kuwafungulia kesi wanafunzi hao ambao wamekiri kufanya vitendo hivyo mara kadhaa, kutokana na umri wao kuwa mdogo. Msikilize zaidi hapo chini Kamanda Mkumbo......