Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

October 24, 2016

Filamu mpya kutoka Nigeria aliyoshirikishwa mwana mitindo kutoka Kenya 'Huda Monroe'.

Filamu ya ‘Brother Jekwu’ aliyoshirikishwa mwanamitindo wa Kenya, Huddah Monroe inatarajiwa kuanza kuonekana kwa mara ya kwanza Disemba 2, mwaka huu.
‘Brother Jekwu’ ni filamu ya muigizaji mkongwe wa Nigeria, Mike Ezuruonye iliyofanyika nchini Nigeria huku ndani yake akiwashirikisha mastaa kadhaa akiwemo Candy, Angela Okorie, Miss Kenya 2004 na wengine.
Filamu hiyo ilianza kutengenezwa mwezi April, mwaka huu na itakuwa ni filamu ya kwanza kwa Huddah kuigiza.
Credit: Bongo 5