Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 9, 2016

VYAKULA VYA ASILI VINAKABILIWA NA UTANDAWAZI.

BOGA
Kulingana na mabadiliko ya utandawazi, huenda Vyakula vya asili vikawa hatarini kutoweka kwa siku zijazo.
Wewe kama mzawa unaenzi vipi vyakula hivi vya asili, vyakula ambavyo vinaleta afya salama ya miili yetu?
Na Je ni chakula gani cha asili ambacho hujakila kwa muda mrefu hadi sasa?

MTAMA
MIHOGO
VIAZI VITAMU