Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 25, 2016

Video: Diamond na Wizkid wa Nijeria, vipi kuna wimbo mpya unakuja?

Baada ya stori ya kumpatia zawadi ya gari Raymond kutawala media, mengine yameibuka mapya na makubwa zaidi baada ya hitmaker huyo wa Kidogo kuonekana akiwa na staa wa Nigeria, Wizkid huku mashabiki wakijiuliza nini kinaendelea?

Tazama video hii hapa....

Tazama na hii....