Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 25, 2016

Ufugaji wa kuku: Aina mbalimbali ya mabanda ya kisasa ya kufugia kuku.

Huenda ukawa na ndoto ya kuwa mfugaji wa kuku pale nyumbani, lakini ukawa huna eneo la kutosha kufuga kuku wengi, basi usikate tamaa hapa nimekuwekea ubunifu mbali mbali wa mabanda madogo ya kufugia kuku.
Unaweza kutizama hapa ninauhakika hautaambulia patupu, kwani unaweza kuamua kufuga kuku wachache kwaajili ya kitoeo pale nyumbani au hata ukafuga kuku wa biashara, ni wewe tu.

Karibu tena katika blog hii ya Asili Yetu Tanzania tuendelee kukuelimisha na kukupatia mawazo mapya ya kimaisha.