Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 23, 2016

Top 3 ya bidhaa zilizouzika sana huko Rio Olympics 2016 Brazil wakati wa hitimisho.

Mikusanyiko ya watu ya aina yoyote ile huwaleta karibu wafanyabiashara na wahenga walisema, mgeni njoo mwenyeji apone.
Nikupeleke moja kwa moja Rio 2016 Brazil, unaambiwa hizi ndizo bidhaa zilizonunuliwa sana siku ya serehe za kufunga mashindani ya Olympic kule Brazil....

Haya ni malapa yenye mvuto wa nembo mbali mbali za Rio 2016 ambayo yalinunuliwa na mashabiki wengi wa michezo katika maduka mawili makubwa yaliyokuwepo katika maeneo ya michezo.
Hizi ni kofia zilizotumika katika swala zima la muonekano wa kipambe katika michezo ya Olympic.
Hizi ni Glass fupi ambazo zina nembo mbali mbali za michezo ya Olympic ambazo zilionekana kupendwa na watu mbali mbali na hivyo kupata soko wakati wa ufungaji wa mashindano hayo.