Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

August 23, 2016

Picha za Rais wa Marekani 'Barack Obama' akiwa mapumzikoni na familia yake.

 Wakwetu kiongozi kama rais huwa anamajukumu mazito sana katika kuhakikisha analiongoza Taifa lake vizuri, lakini sio kwamba huwa hana muda hata wa kupumzuika... hapa nakukutanisha na familia ya Rais wa Marekani Barack Obama wakati wakiwa mapumzikoni...Endelea kutembelea ASILI YETU BLOG kwa habari zaidi duniani kote.