Header Ads

Breaking News
recent

Dunia ya adhimisha miaka 25 ya kuanzishwa kwa matumizi ya mtandao wa Internet duniani kote (World Wide Web).

Sir Tim Berners-Lee muanzirishi wa world wide web

Siku hii pia inafanya wakumbukwe watu muhimu katika ugunduzi wa mtandao wa Internet, mmoja wapo akiwa ni Sir Tim Berners-Lee na waanzirishi wenzake wote.


Historia ya Internet nyuma, inasema kuwa, utafiti ulifanywa na serikali ya shirikisho Marekani mwaka 1960 wa kujenga mawasiliano imara kupitia mitandao ya kompyuta. 

Leo Agosti 23, 2016 ni siku ya (Internaut) yani sherehe ya maadhimisho  ya kutimiza miaka 25 ya mtandao wa dunia nzima yani (World Wide Web), ambayo ilitengenezwa katika maabara ya CERN (Enquire / EV project) huko Switzerland mwaka 1989-1990, na kufunguliwa kwa watumiaji wampya baada ya siku hiyo mwaka 1991.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.