Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 16, 2016

Video: Mtoto akutanishwa na pacha wa Baba yake, acha apagawee!!.


Hii inafurahisha kiukweli, ebu vuta picha pale ambapo unakutanishwa na pacha wa mtu wako wa karibu.

Sasa hii imetokea kwa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kama wa mwaka mmoja hivi.

Video iliyowekwa katika mtandao wa Youtube, inamuonesha mtoto huyo akiwa amebebwa na baba yake huku mbele yake kukiwa na pacha wa Baba yake.

Mtiti ukaja mtoto huyo kumtambua hasa Baba yake rasmi ni nani?? Itazame hapo chini……..
Credit: Times fm