Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 16, 2016

VIDEO: Watu Wenye Kasi zaidi katika Kazi Duniani.

Moja kati ya msemo unaowika sana hapa nchini ni "HAPA KAZI TU", lakini sii msemo uliopo hapa nchini tu, hata kwingineko duniani. Moja kwa moja nikusogeze katika  video hizi za watu wenye kasi ya hatari zaidi katika kazi duniani.....
Wakwetu hebu anza na hii  hapo chini.....