Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 7, 2016

Linex - "Kwahela". (Video)

Chukua time yako kufahamu undani wa ile story iliyokiki mitandaoni kuhusu Msanii Linex na harusi, sasa ni Video ya wimbo wa "KWA HELA".