Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

February 7, 2016

Fid Q Ft. Taz - "Walk It Off).

Kutana na mkari wa mashairi ya Hip Hop kutoka Mwanza, muite FID Q, sasa amekuletea video yake mpya ya "Walk It Off" aliomshirikisha Msanii Taz. Video imefanyika Afrika ya Kusini....