Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

December 7, 2015

JAY MORE AMERUDI TENA - "HILI GAME". (Download mp3)

Baada ya kuwa kimia muda mrefu, mmoja kati ya wakongwe wa muziki wa kizazi kipya JAY MOE kupitia studio ya Bongo Recods kwa P Funk Majani amerudi na ngoma hii "HILI GAME"...