Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

November 20, 2015

BARNABA Ft. JOSE CHAMELEONE - "NAKUTUNZA". (Download mp3).

+255 imekutana na +256 hivi karibuni na wameahidi kukutunza! Sikiliza wimbo mpya wa Barnaba na Jose Chameleone, unaoitwa "NAKUTUNZA"...