Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

June 2, 2015

VIDEO: J.I - "MSIFIE WIFE".

Msanii aliyewahi kutamba na wimbo wa "Kidato Kimoja" maarufu kama J.I, sasa amekuletea video ya wimbo wake mpya wa "MSIFIE WIFE"..... Utazame hapo chini.....