Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

June 10, 2015

AUDIO: RUBY - "MILIMA YA KWETU". (Download Mp3).

Msanii anayechipukia na kuonekana kufanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya RUBY baada ya kutamba na wimbo wake wa "NA YULE" sasa anakuletea wimbo mpya unaoitwa "MILIMA YA KWETU"....