Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 15, 2015

VIDEO: RUBY - "NA YULE".

Mei 15 msanii RUBY ameachia video yake ya "NA YULE" ambayo imeongozwa na Director kutoka Kenya anaitwa Kelvin Bosco JNR ambaye tayari amefanya video kadhaa za mastaa wa BONGO.