Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

May 15, 2015

VIDEO: CHEGE - "MWANANYAMALA".


Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family, Chege Chigunda a.k.a mtoto wa mama Saidi ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mwananyamala’. Video hii imefanywa na Adam Juma. Itazame hapa.
.