Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: KAJALA AMEKULETEA TRAILER FILAMU YAKE MPYA YA "PISHU".

Muigizaji mahiri wa filamu nchini maarufu kama KAJALA MASANJA, leo amekuletea hii Trailer mpya ya filamu yake mpya ya "PISHU" ambayo amewashirikisha PEMBE, HEMED PhD, ASHABOKO.... yani full comedy pia mzigo mzima utadondoka sokoni mwezi MAY 1, so stay tuned kwa mafans wake...

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.