Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

April 16, 2015

NEW AUDIO: NEY LEE - "SOPHIA" (Female Version)

Wimbo ulioimbwa na msanii BEN POL "Sophia" umeonekana kupendwa zaidi na ambapo wasanii kama Peter Msechu na Quick Rocker wameweza kuurudia kuuimba, lakini sasa msanii wa kike maarufu kama NEY LEE sasa amedondosha vocal yake katika wimbo huo...... Msikilize hapa.....