Header Ads

Breaking News
recent

MASTAA WANJE: BIG SEAN AMCHIMBA MKWARA JUSTIN BIEBER KUHUSU MPENZI WAKE.

Wivu katika mahusiano bado unazidi kuchukua nafasi kwa wale wapendandao, hasa pale mmoja wao anapoonekana kucheza offside au nje ya mipaka.

Hali hii imemtokea staa wa muziki na rapper wa G.O.O.D Music Big Sean baada ya mpenzi wake Ariana Grand kumwalika Justin Bieber katika tamasha lake lililofanyika huko Los Angeles Marekani, ambapo msanii huyo ambaye ni mpenzi wa Big Sean kumuita Bieber na kuimba nae close jukwaani.

Kilichomfanya Big aingie wivu ni pale Ariana alipoimba moja kati ya nyimbo ambazo zilimfanya mpenzi wake kuwa maarufu "As Long As You Love Me". 

Sean akiwa mmoja wa wageni katika tamasha hilo baada ya kuona Bieber akimshika kiuno Ariana alionekana kupoteza mwelekeo kabisaa na kuamua kesho yake kumwaga wino katika mtandao wa Tweeter na kuandika " “This kid is about to learn not to touch my girl like that. Beliebe that,” akimaanisha "huyu mtoto anakaribia kujifunza kutomshika mpenzi/msichana wangu kama hivyo". Lakini baada ya muda Sean aliifuta Tweet hiyo.
“As Long As You Love Me.”

Read more at: http://www.24urban.com/news/big-sean-gets-at-justin-bieber-dont-touch-my-girl
“As Long As You Love Me.”

Read more at: http://www.24urban.com/news/big-sean-gets-at-justin-bieber-dont-touch-my-girl

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.