Header Ads

Breaking News
recent

FILAMU YA "FAST & FARIOUS 8" YATANGAZWA.


Baada ya mafanikio makubwa ya Fast 7 sasa wametangaza ujio wa  “Fast and Furious 8″. Filamu hii ambayo ni blockbuster imetangazwa kutoka April 14, 2017 wakati wa maelezo kuhusu Fast and Furious 8 yaliyotolewa na mwigizaji wa filamu hio Vin Diesel.
Filamu ya Furious 7 ni moja kati ya filamu 20 zilizo weza kuuza mamilioni ya dola. Hata hivyo filamu hii ya Furious 7 imewashangaza wengi baada ya kuonekana kuvuka matarajio katika upande wa filamu kwa mwaka 2015.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.