Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

TAZAMA KIONJO CHA JIBAMBEE TV SHOW

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

April 21, 2015

AUDIO: AYLER - "SOPHIA". MP3


Hii ni cover ya nne ya wimbo hit single ya Ben Pol ‘Sophia’. Hii ya sasa imefanywa na Ayler. Tayari Peter Msechu, Quick Rocka na Ney Lee wamefanya zao. 
Lakini Ayler kwenye wimbo huu yeye ameimba tofauti na wenzake waliotangulia kuurudia wimbo huu, yeye anamtaka mpenzi wake kumpeleka nje ya nchi kula bata badala ya kwenda mikoani.