Header Ads

Breaking News
recent

Nyumba Mpya ya Bondia Manny Pacquiao aliyonunua kwaajili ya Familia yake kufikia Marekani. (VIDEO).

Bondia maarufu kutoka Ufilipino alimaarufu kama Manny Pacquiao anayejipanga vyema kumkabili bondia wa Marekani mwenye mbwembwe kibao yani Floyrd Mayweather mwezi May 2 Los Angeles, amenunua jumba la kifahari huko Bevery Hills nchini Marekani kwaajili ya familia yake kutoka Ufilipino kufikia humo.
 Manny alifanya uamuzi huo baada ya kuridhishwa na nyumba hiyo yenye ukubwa wa futi 10,000 kwa kitita cha dola milioni 12.5 likiwa na kila kitu ndani yake.

Itupie macho nyumba hiyo hapo chini.......

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.