Header Ads

Breaking News
recent

MAAJABU - MBWA ATEMBEA KAMA BINADAMU HUKO CHINA.

Mtu anaemfuga mbwa huyo anaitwa ZHU amesema ametumia muda wa mwezi mmoja kumfundisha mbwa huyo kutembea kwa miguu miwili kama binadamu, ana uwezo wa kutembea kilomita mbili wima kama mwanadamu.
.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.