Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 12, 2015

King Crazy GK Ft. Vanessa Mdee, Rawdgers, Hoox - "SHUKRANI". MP3

Ngoma mpya ya King Crazy GK akiwa amewashirikisha Vanessa Mdee, Rawdgers & Hoox na ambayo wengi wamesema inamrudisha GK waliyemmiss. Imetengenezwa na John Mahundi na Marco Chali.