Header Ads

Breaking News
recent

Kala Jeremiah Ft. Roma - "Nchi Ya Ahadi" (Download mp3).

Kala Jeremiah na Roma wameungana kutengeneza ngoma mpya ‘Nchi ya Ahadi’ iliyotoka leo.

Kwenye wimbo huo Kala amechukua nafasi ya mwananchi anayemuuliza maswali magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi nyingine ya uongozi. Ni wimbo mzuri hasa kwa kipindi hiki. Usikilize.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.