Karibu Nyumbani - Tunaipenda Tanzania

SIKILIZA HAPA JIBAMBEE RADIO SHOW

March 28, 2015

DIAMOND PLATNUMZ FT. KHADIJA KOPA - "NASEMA NAWE" (VIDEO)

Sasa unaweza kuitazama Video mpya ya msanii DIAMOND PLATNUMZ aliyomshirikisha msanii Gwiji wa Taarabu nchini Tanzania Khadija Kopa, wimbo unaitwa "NASEMA NAWE".