Header Ads

Breaking News
recent

Matukio na Maajabu ya leo Kupitia Hot 112 Radio Show, Sasa tutakutumia Kupitia Simu yako ya Mkononi.

Hot 112 Radio Show ni moja kati ya Podcast za kisasa zaidi kwa mwaka 2018. Watu wengi wamefurahia kupakua na kusikiliza kipindi hiki mtandaoni, kweli kinafurahisha kwa stori zake!!

Je unahitaji tuwe tunakutumia matukio na maajabu yanayotokea duniani kote kupitia kipindi chetu cha Hot 112 Radio Show kinachosikika mtandaoni?

Sasa tunaweza kukutumia kipindi chetu kupitia simu yako ya kiganjani, ni rahisi wasiliana nasi kupitia namba hizi (sms/piga)+255 743 627 160.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.