Header Ads

Breaking News
recent

Orodha ya Wasanii wa Hip Hop Matajiri Zaidi Duniani 2018 Jay Z Aongoza.

Forbes imetoa orodha ya wana Hip Hop matajiri zaidi duniani 2018. JAY-Z ameongoza na $ 900M

JAY-Z ameingiza zaidi ya $ 90M tangu mwaka jana na imetokana na kuwa na share kwenye champagne ya Armand de Brignac na D'Ussé cognac. Pia umiliki wa Roc nation na Tidal.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.