Header Ads

Breaking News
recent

Mtoto wa Mchezaji nguli wa Mpira Cristiano Ronaldo Aahidi kuwa kama baba yake.

Cristiano Jr ni mtoto wa mchezaji wa viwango vya juu vya mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo, sasa kupitia ukurasa wa baba yake wa Twitter ametupia hiyo picha hapo juu na kusema kuwa mwanae ameahidi kuwa kama yeye>>>"Jr say daddy I'm gonna be like you!!! What do you think??"

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.