Header Ads

Breaking News
recent

Kongamano Kubwa la Kinabii na Miujiza Kufanyika Jijini Arusha Pasaka hii.

Huenda wewe ni mmoja kati ya watu waliohangaika sana katika kurejesha Afya yao, Uchumi wao, Ndoa yao, Amani yao, heshima yao, kupata watoto na kupata kazi n.k.

Je Umeteswa na mapepo kwa muda mrefu, vifungo vya uchumi, chuma ulete, hufanikiwi kwa kila jambo, pesa zako zinatumika bila kufanya kazi yoyote, umeteswa na magonjwa (kansa, ukimwi, presha, kisukari n.k)?.

Sasa Kanisa la SOUL HEALING MINISTRIES lililoko Ngaramtoni ya Juu jijini Arusha chini ya mtumishi wa Mungu Nabii Joe L.A Aminiel, wanakukaribisha katika Kongamano Kubwa la Kinabii na miujiza litakalofanyika siku mbili yani Tarehe 1 - 2 /4/2018 katika Ukumbi wa Latamino karibu na Soko la Kilombelo Jijini Arusha.

Walete ndugu zako wapate uponyaji wa Yesu Kristo kama wengine walivyokwisha ponywa magonjwa ya kutisha na kuwekwa huru kupitia Nabii Joe L.A Aminiel, usikose Kongamano hili ikiwezekana safiri mapema kabisa kufika Arusha ili upate uponyaji wako na uondokane na mateso yako.

Facebook Page - ProphetJoe Aminiel

NYOTE MNAKARIBISHWA. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.