Header Ads

Breaking News
recent

Zari atua leo Bongo, vipi kuhusu Diamond?

Mama watoto wa Diamond, Zari The Bosslady ametua jijini Dar es salaam jioni ya leo akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la bidhaa za nguo, Danube.

Mrembo huyo ametua katika Uwanja wa JK Nyerere International akiwa bila mtoto wake mdogo Nillan kitendo ambacho kimeonyesha huwenda mrembo huyo ajafika kwaajili ya Diamond na ni kwa muda mchache.

Akiongea na waandishi wa habari muda mchache baada ya kuwasili, Zari amesema amekuja nchini kwaajili ya uzinduzi wa duka la Danube sio kitu kingine>>>
Chanzo: Bongo 5
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.