Header Ads

Breaking News
recent

Pink atoa album mpya ‘Beautiful Trauma’ baada ya miaka 20 alipotoa ya kwanza

Hatimae baada ya muda mrefu msanii wa miondoko pop-rock, Pink ameachia Album mpya inayokwenda kwa jina la Beautiful Trauma

Ni takribani miaka 20 hivi, toka msanii huyu aachie album yake ya kwanza, iliyoitwa, Can’t Take Me Home, na safari hii ameachia hii ya Beautiful Trauma.
Usikilize wimbo uliobeba jina la album hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.