Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Elizabeth Michael (Lulu) katika muonekano mpya

Huwezi kumaliza kutaja mastaa wa filamu nyumbani Tanzania bila kutaja jina la Elizabeth 'Lulu' Michael, huyu ni mmoja kati ya wasanii wa filamu Bongo walioanza kuigiza wakiwa na umri mdogo sana, lakini hadi leo bado wamekuwepo katika sanaa hii ya filamu Tanzania.
Sasa kupitia ukurasa wake wa Twitter, Lulu ametupia picha hii kwa profile yake.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.