Header Ads

Breaking News
recent

Muimbaji wa Fifth Harmony, Normani Kordei aanguka ghafla jukwaani

 Muimbaji wa kundi la Fifth Harmony, na staa wa hit single ya “Work From Home” Normani Kordei ameanguka ghafla akiwa anaimba jukwaani katika tamasha la muziki huko Brazil.
Kwa taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba msanii huyo alionekana akianguka ghafla kwa nguvu zote, na kuamka mara moja huku akijifuta nywele zake, huku wasanii wengine waliendelea kuimba kana kwamba hakuna kitu kilichotokea, na wengine kudhani kuwa ilikuwa ni sehemu ya shooo.
Shuhuda mmoja wa tukio hilo ameelezea kuwa Normani Kordei alipoanguka ilionekana wazi kuwa lazima ni maumivu makali, kwasababu alikuwa amevaa viatu vilefu 'high heels' na wakati akianguka Fifth Harmony walikuwa wakiimba wimbo wao wa “Make You Mad” wa 2017 na uliobeba jina la album. 

 PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.