Header Ads

Breaking News
recent

Maparachichi yasiyokuwa na mafuta mengi yagunduliwa

Kutokana na tunda aina ya parachichi kuelezwa na wataalamu wa afya kuwa lina mafuta mengi yanayoweza kunufaisha mwili, wataalamu hao hao pia wametengeneza aina nyingine ya kuotesha maparachichi ambayo yana mafuta kidogo kuliko maparachichi mengine.

Aina hii ya maparachichi yatakuwa na asilimia 70 tu ya mafuta tofauti na maparachichi ya kawaida na hii ni kwaajili ya kusaidia watu wenye matatizo ya mafuta mengi mwilini, ambao wanaogopa kutumia tunda hilo kabisa.

 Kwasasa maparachichi hayo yanapatikana nchini Hispania na inaelezwa kuwa, hivi karibuni yataanza kusambazwa maeneo mbalimbali duniani. 

Maparachichi haya mapya yanaelezwa kuwa mepesi kwa uzito na yana afya zaidi, kwani hapunguza viwango vya mafuta mabaya mwilini.
Chanzo:MillardAyo

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.