Header Ads

Breaking News
recent

Hot 112 Radio Show (Episode4) ni kuhusu Nimeacha Youth Club

Muendelezo wa vipindi vyetu vya Redio - HOT 112 RADIO SHOW kupitia Online bado vinaendelea, na kama hujawahi kuvisikiliza basi umekosa mambo mengi, sasa wiki hii tumeangazia vijana.

NIMEACHA YOUTH CLUB na harakati za kimaendeleo. Kwa mara nyingine jukwaa la msingi wa maendeleo kwa vijana limeandaa safari ya kutembelea kituo cha matunzo na malezi ya watoto, MAKIMBILIO CHILD CARE kilichopo Kioga jijini Arusha ili kujifunza mazingira wanayoishi watoto, lakini pia kupeleka msaada wa mahitaji mbalimbali kwao.

SIKILIZA KIPINDI KIFUPI HAPO CHINI>>>
SIKILIZA VIPINDI VINGINE HAPA>>>DOWNLOAD

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.