Header Ads

Breaking News
recent

Lady Gaga akatisha ziara yake ya muziki kutokana na maradhi yanayomkabili kwa sasa

Staa wa muziki kutoka nchini Marekani maarufu kama Lady Gaga, 31, kwa taarifa zilizopo kwa sasa yuko katika wakati mgumu kutokana na maradhi yanayomsababishia maumivu makali.
Staa huyo wa wimbo wa 'Johanne' amelazimika kuahirisha ziara yake ya muziki iliyokuwa ifanyike Septemba 21, Barcelona, Uispania na kusogezwa mbele hadi mwakani 2018.

Hii ikiwa ni kutokana na kuhisi maumivu makali, ambapo sasa kwa mujibu wa hollywoodlife, Lady Gaga yuko katika uangalizi wa wataalamu wa kiafya.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.